Istilahi za Ushairi ni Gani?- Paukwa Radio
Download and listen anywhere
Download your favorite episodes and enjoy them, wherever you are! Sign up or log in now to access offline listening.
Chapters
Description
Istilahi za Ushairi na maswali ya wiki. Utaweza? 🤔 MASWALI YA WIKI: Maamkuzi na Maneno ya Adabu na Heshima. Taja neno linalorejelea maelezo haya: 1.Hali ya unafuu anayoipata mgonjwa baada...
show moreMASWALI YA WIKI:
Maamkuzi na Maneno ya Adabu na Heshima.
Taja neno linalorejelea maelezo haya:
1.Hali ya unafuu anayoipata mgonjwa baada ya kuugua. Pia sawa na kauli itolewayo kwa muundo wa swali ambayo hutumika kuulizia hali ya mtu mwingine
2.Tamko la kutahadharisha watu wampishe, hasa mtu anayepita na mzigo mzito au hatari
3.Neno linalotumiwa na watoto wanapomwamkia mtu
4. Neno la kuonyesha kuupokea na kuukubali wema uliotendewa.
5. Neno la heshima linalotamkwa kabla ya kutaja jina la mtu maarufu
Information
Author | Paukwa Radio |
Organization | Paukwa Radio |
Website | - |
Tags |
Copyright 2024 - Spreaker Inc. an iHeartMedia Company
Comments