Episode 13b: Raia wa Eritrea wanahitaji uhuru wao Sasa, Dunia tuungane kuwakombea (October 18, 2020)
Oct 20, 2020 ·
1h 1m 13s
Download and listen anywhere
Download your favorite episodes and enjoy them, wherever you are! Sign up or log in now to access offline listening.
Description
Raia wa Eritrea wanahitaji uhuru wao Sasa, Dunia tuungane kuwakombea. Eritrea ni taifa lililopitia historia ngumu sana kutafuta uhuru wake. Ilipoupata, viongozi wake sasa wanautumia kuwanyanyasa na kuwakandamiza raia wasio...
show more
Raia wa Eritrea wanahitaji uhuru wao Sasa, Dunia tuungane kuwakombea.
Eritrea ni taifa lililopitia historia ngumu sana kutafuta uhuru wake. Ilipoupata, viongozi wake sasa wanautumia kuwanyanyasa na kuwakandamiza raia wasio na hatia.
Serikali ya Eritrea haina bunge lenye mamlaka wala Mahakama. Ukikamatwa na polisi, hiyo ndio hukumu yako. Duniani, tupaswa kuisaidia nchi hii, kwani hakuna ATM wala huwezi kununua laini ya simu ya mkononi.
Kwani Eritrea sio sehemu ha ulimwengu huu, Haki za binadamu zinakiukwa sana na haziheshimiwa. Tupaze sauti, Raia wa Eritrea wanateseka sana. (October 18, 2020)
show less

Information
Author | WCAT Radio |
Organization | WCAT Radio |
Website | - |
Tags |
Copyright 2024 - Spreaker Inc. an iHeartMedia Company